kwamamaza 7

Ruhango:Haki za wanawake zakiukiwa

0

Viongozi wa wilaya ya Ruhango kusini kati mwa nchi wametangaza kuwa ukiukaji wa haki za wanawake  hasa vile kwenye mali umeshamiri.

Afisa wa wilaya kwa wajibu wa maendeleo na usawa wa jinsia,Jean Byiringiro Rugendo amesema kuna unyanyasaji wa kijinsia unaofanyiwa wanawake kwa wanaume wao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia afisa wa shilika la wanaume wanaotetea usawa wa jinsia na kupambana na unyanyasaji(RWAMREC), Jean Bosco Rudasingwa ameleza kuwa chanzo cha unyanyasaji ni tabia ya ubepari kwa wanaume waliyorithi kutoka wazazi wao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,afisa huyu ameongeza kwamba tangu mwaka 2010 hadi 2015  wanawake  3000-4000 waliuawa.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.