Home HABARI Ruhango:Aliyejifungua pacha mala mbili autaka msaada wa serikali
HABARI - October 31, 2017

Ruhango:Aliyejifungua pacha mala mbili autaka msaada wa serikali

Mkazi wa kijiji cha Muhororo,Tarafa ya Byimana, Maritha Mukanoheli anaomba msaada kwa serikali wa kulea watoto wake wanne baada ya kujifungua pacha mala mbili.

Mzazi huyu amesema kuwa yeye ni fukara na kuwa hana uwezo wa kulea vilivyo wanawe wanne kwa kuwa hana fedha wala shamba la kulima na kuwa hawezi kupata kazi yoyote akiwa na watoto wa miezi nane mgongoni.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Afisa wa tarafa kwa wajibu wa mamabo ya kijamii,Emmanuel Murambe Semana ameleza kuwa waliamua kukarabati nyumba  yake na kumpa kazi mwanamume wake ili waweze kujitunza.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Diwani makamu wa wilaya,Annonciata Kambayire ameleza kuwa kuna fedha za kusaidia wale wasiona uwezo ila viongozi wa tarafa ndio wanaoamua watakaosaidiwa.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.