Swahili
Home » Ruhango: Watoto 2 wameteswa na baba yao mzazi
HABARI

Ruhango: Watoto 2 wameteswa na baba yao mzazi

Watoto wawili wenye kimo kati ya miaka 1-4 wapo katika hospitali ya Gitwe, wakidai kuwa walipigwa na baba mzazi ambaye hutumia dawa za kulevya.

Uwimana Prosper baba mzazi wa watoto hao ni mwenyeji wa kiini ya Bweramana, kata ya Kinihira, wilaya ya Ruhango, hivi hupo mbaroni kwenye stesheni ya polisi ya Kabagari tangu jana tarehe 16 Januari 2017.

Madaktari katika hospitali ambao wanashugulika kwa ajili ya watoto hao wasema kuwa walifanyiwa mabovu, yawezekana kuwa walichomwa na baba yao mzazi.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Kiongozi wa kata ya Kinihira Irene Tuyisenge amesema kuwa waliyo yaona yanazidi ufahamu, “tulipo jua hao jana, baba huyu alikamatwa na kupelekwa kwenye stesheni ya polisi Kabagari”.

Kiongozi huo ila amekana kua katika kata hio kutumia dawa za kulevya, wanaokamatwa ni mwenye kata jirani.

Majirani wa baba huo ndio wanaohakikisha kutumia dawa za kulevya na ndivyo kamusukuma kufanya maovu hao hadi kuwatesa watoto kwa hali ya juu.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com