kwamamaza 7

Ruhango: Raia wa Rwanda wanaoishi Ivory Coast wamepana miliyoni 2.5 Frw kwa ajili ya afya

0

Ijuma tarehe 24, raia wa Rwanda wano ishi Ivory Coast wamewapa wakaaji wa viini vya Buhoro na Bunyogombe, kata ya Ruhango wapatao 825 msaada wa kuwasaidia kwa ajili ya afya (mutuelle de santé)wenye samani wa pesa za Rwanda miliyoni 2.5

Ni kupitia mpango ambao Wanyarwanda wanaoshi katika mataifa mengine kwa kusaidia kwa ajili ya maendeleo ya Rwanda kwa ajili ya maisha bora, kwa hali ya kuwasaidia namna ya kuyapata matibabu kama vile ilivyo fanywa leo, mpango wa kupewa ng’ombe.

Hao wanaoishi Côte d’Ivoire wanasema ya kuwa walikusanya pesa ili waweze kuwasaidia wale ambao wamekosa uwezo wa kupata pesa hizo za matibabu.

Mwakilishi wa Wanyarwanda wanao ishi kimataifa, Jacques Tutuba alisema ya kuwa waliamua kwasaidia wakaaji wa wilaya ya Ruhango kwa kuwa mara nyingi wilaya hio ilikuja ku nafasi ya nyuma kwa kutoa msaada wa matibabu ya afya, eti « kitu ya kwanza ni kuishi, kama una afya unaweza kuyafikia mengi ».

Waliopewa msaada huo wanashukuru wenzao wanaishi kimataifa ya kuwa hakuna atakaye gonjwa na kubaki nyumbani, kama vile Mukandori Peresi mwenye umri wa miaka 62 eti « nilikua nikigonjwa nabaki nymbani kwa ukosefu wa pesa za matibabu ila kwa sasa nikiumwa haraka nitakuwa nikienda kutafuta matibabu ».

Kiongozi wa kata ya Ruhango, Nahayo Jean Mari Vianney alisema ya kuwa wakaaji wa viini hivyo walikutana na matokea mabaya ya mvua ilio haribu mavuno na kubomboa nyumba zao, pia akisema ya kuwa msaada wowote uanao patikana kwa niaba yake yawezekana kuwafikilia wakaaji hao walio patwa na shida kwa ajili ya mvua.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.