Polisi ya Rwanda inakumbusha Wanyarwanda kuwa rushwa na kupora kuwa chanzo cha maisha mabaya, umasikini na ulemavu, kwa mwisho huua watu na nchi kwa ujumla. Inabidi mipango kwa kupiganisha na kuzuia.

Kwa kupiganisha kuliundwa kundi la polisi ya Rwanda ijulikanayo kama (Anti-corruption Unit), kwa ajili ya kupambana na kuzuia kitendo cha rushwa.

Kwa niaba ya kupiganisha, polisi ya Rwanda katika wilaya ya Ruhango, tarehe 11 April wametiya mbaroni mtu ajulikanaye kwa jina la Ntivuguruzwa Eliezel mwenye umri wa miaka 50 akiongoza pikipiki yenye namba RB 774S, akijaribu kumpa rushwa polisi rushwa ipatao 30.000  frws kwani alikuwa hana kitambulisho ya kuendesha pikipiki, hivi sasa yupo kwenye stesheni ya polisi ya Ruhango akisubiri kufikishwa mahakamani.

Msemaji wa polisi jimbo la Kusini, Chief Inspector of Police (CIP) Andre Hakizimana, aliomba raia kujizuru na kuwapa rushwa wanaohusika na kuipiganisha kwa sababu wanajua kwamba ni kosa linalo azibiwa na sheria.

CIP Hakizimana alishukuru polisi huo kwa sababu aliheshimisha polisi ya Rwanda na usamini wake.

Alitoa uito kwa Wanyarwanda akiwakumbusha kuwa rushwa huharibu uchumi wa nchi, akiomba kila mtu kuoa msaada kwa kuzia na kupiganisha rushwa na makosa mengine, aliomba wenye kuendesha kutii sheria za barabarani na kuchunguza kama hujaza mambo ya sheria.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.