Swahili
HABARI

Rubavu:Wathiriwa wa mauaji ya kimbali wajengewa nyumba bila chooni na jikoni

Familia za wathiriwa wa mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994 wanaoishi tarafa ya Kanzenze wanatumia vyooni vya majirani wao na kupikia nje baada ya kujengewa nyumba 58 zenye bei ghali ya miliyoni frw 5 kila zisizokuwa na vyooni na vikoni.

Wakazi hawa wanashukuru serikali kwa nyumba walizopatiwa ila jambo linalowatesa ni kwamba hawana vyooni na vikoni.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mmoja wao,Immaculee Murekatete amesema kwamba wanateseka kupata vyooni na kupikia chakula chao nje.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande wa viongozi wa tarafa ya Kanzenze,Katibu mtendaji wa tarafa ya Kanzenze,Monique Nyiransengiyumva ameleza kwamba anajua tatizo hili na kuwa suluhisho lake litapatikana mwaka huu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com