kwamamaza 7

Rubavu:Wanasikitishwa na uamzi wa kukataza ubiashara wa kuku nchini Congo

0

Wafanya biashara wa kuku wanasema ya kuwa wapo na huzuni mwingi kwa sababu serikali ya Congo imesimamisha usafirisaji wa kuku na mayai kutoka Rwanda, wilaya ya Rubavu

Wiki mbili nenda ndipo seriakali ya Congo iliamua hayo na kusema ya kwamba kuku za Rwanda zipo na magonjwa hata kama wafanya biashara wanasema ni uongo.

Taarifa husema ya kuwa gavana wa jimbo la Kaskazini ndiye Julien Paluku kaamua na kusema ya kwamba hakuna kuku wala yai vinavyo kubaliwa kuvuka mipaka ya Rwanda na Congo (Rubavu-Goma), maamzi hayo husikitiza wafugaji na wafanya biashara wa kuku katika wilaya ya Rubavu.

Sentama eti “tulisikia kwamba tangazo limetolewa, wengi tulikuwa tumerangua mayai na kuku nyingi, tulikuwa tukivukisha kuku 3000, ila kwa sasa hata kuku 1000 hazivuki, tumepoteza sana”.

Katuribi Amani, raia wa Congo, yeye husema kwamba kusema kuku na mayai yapo na ugonjwa hakuna msimamo eti “ hasa kama wanasema ya kuwa kuku na mayai vipo na magonjwa na wakati wanavikamata hawavichomi kwa moto, na kwa mwisho utakuta askari wakipora, wanapenda tuteseke, kuku na mayai bya Rwanda havina magonjwa”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi mwakilishi wa wilaya ya Rubavu anayehusika na uchumi amesema kwamba swala hili wanalifahamu ila hawana la kufanya kwa maamzi hayo ya nchi jirani.

Aliendelea na kusema kwamba hata siku moja magonjwa ya kuku hayakuonekana katika wilaya hiyo kwa sababu hakuna hata ngazi moja kuhusika waliosema hayo, anaomba wafugaji na wafanya biashara kutafuta suluhisho wenyewe katika hoteli za Rwanda na mahali pengine kwa sababu hatuwezi badilisha maamzi ya Congo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.