kwamamaza 7

Rubavu:Wafanyabiashara wa walalamikia hasara ya maziwa

0

Wafugaji na wachuuzi wa maziwa wa tarafa ya Bugeshi,magharibi kaskazini mwa nchi wameweka wazi kuwa na wasiwasi za lita 1000 zinazomwagika kila siku juu ya kupoteza ubora.

Mmoja mwa hawa,Toyota Mukankusi ambaye ni mchuuzi wa maziwa ameleza kuwa wanapata hasara za kila siku kwa kuambiwa kuwa maziwa yameharibika.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mimi nimepata hasara ya lita 80 leo tu”ameleza Mukankusi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Afisa kwa wajibu wa ufugaji katika tarafa ya Bugeshi,Origene Byimana ametangaza kuwa maziwa yanayoletwa na wakazi kupoteza ubora kwa ajili ya nyasi mbaya wanazotumia kwa kulisha ng’ombe wao kama vile majani ya viazi vitamu ambayo yalinyunyiziwa  madawa ya kuua wadudu,jambo linaloharibu mno ubora wa maziwa ya ng’ombe wao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Tunahamasisha wakazi kulisha ng’ombe wao nyasi ambazo ni nzuri”amesema Byimana.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Tarafa ya Bugeshi ingali miongoni mwa maeneo yenye ufugaji wa ng’ombe katika wilaya ya Rubavu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.