Viongozi wanne wa shirika KOADU mjini Gisenyi wamefungwa jela kwa ubadhilifu wa mali ya washiriki miliyoni frw 29 kwenye stesheni ya Gisenyi.

Wafungwa hawa ni kiongozi mkuu,Faustin Mbanjimbere,Theophile Ndagijimana,Jean Claude Rwango na Uwimana Nyagahunde.Ni baada ya uchunguzi wa bodi kuu ya mashirika nchini(RCA) kubuni kwamba hawa wanahusika na ubadhilifu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Spika wa polisi mkoa wa magharibi,CIP Theobald Kanamugire amesema  kuwa upelelzi wa msingi ulionyesha kuwa wana hatia na kuwa kuna wanaokubali maovu na kusema”Baada ya kupata maandishi ya RCA tuliamua kuanza upelelzi”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya yasisitizwa na kiongozi mkuu wa mashirika mkoa wa magharibi,Jean Damascene Hamisi na kushukuru polisi pia na kuhamasisha washiriki wa mashirika mbali mbali kutoa matatizo yaliyomo kwao.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina