kwamamaza 7

Rubavu:Ukewenza kushamiri tarafa ya Nyundo

0

Wakazi wa tarafa ya Nyundo wamesema kuwa ukewenza unavuma katika tarafa ya Nyundo kutokana na kuwa familia nyingi huishi kinyume na sheria.

Katibu Mtendaji wa tarafa ya Nyundo,Jean Bosco Tuyisenge

Wanasema kwamba kuna wanaume na wanawake ambao wanacha familia zao kwa sababu mala nyingi huwa wanaishi kwa ndoa ambazo ni kinyume na sheria.

Mmoja wa wakazi,Jeanine Mukasekuru,ameleza “Kuna athari nyingi za hizi ndoa ambazo hazina mpango kama vile ugomvi,uhasherati”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ofisi ya takwimu ya tarafa ya Nyundo inaonyesha kuwa familia 1200 zilikuwa zikishi kinyume na sheria miaka miwili iliyopita.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katibu mtendaji wa tarafa ya Nyundo,Jean Bosco Tuyisenge amefafanua namna ambavyo hili ni tatizo kubwa hasa kijiji cha Mukondo na kueleza”Hili lilitia fora kijijini Mukondo lakini kuna mbinu kamili za kujadili nalo”.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.