kwamamaza 7

Rubavu:Dobi atuhumiwa kuwaroga watoto wanne,wawili wakaenda njongomeo

0

Watoto wawili wamefariki katika kijiji cha Buhaza,tarafa ya Rubavu,magaharibi mwa nchi kwa kurogwa.

Dobi wa jirani wa wazazi wa watoto hawa ndiye anatuhumiwa kufanya ovu hili.

Kiongozi wa Kijiji,Furaha Germaine ameleza kuwa dobi huyu kwa jina la Uwamahoro aliwaita watoto hawa walipokuwa wakichunga mbuzi na kuwapatia chakula ila baada ya dakika thelathini wawili wakafariki.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Watoto hawa kwa majina ya Pascal Ndamyebucye,12, Benjamin Ndikubwimana,5 na aliyemgonjwa mahututi kwenye hospitali ya Gisenyi,Flugence Niyonzima.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katibu mtendaji wa tarafa ya Rubavu,Honore Mugisha ameleza kuwa mtuhumiwa amaekamatwa na polisi na kuwatuma waliopnea chupuchupu kwenye hospitali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Majirani wanasema kwamba inawezekana kuwa dobi huyu hakudhamiria kuwaua watoto  hawa kwa ila ni kosa la kuchanganya aside iliyokuwa ndani ya vikopu sawa na vile vya nyanya.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.