kwamamaza 7

Rubavu:Malalamishi ya wanafunzi yazuka kuhusu safari ndefu wakati wa kufanya mtihani wa taifa

0

Baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari tarafa ya Busasamana na nyingine jirani,wilaya ya Rubavu magharibi kaskazini mwa nchi wametangaza kuwa na wasiwasi za safari  ya km 10 watakayofanya wakati wa kufanya mtihani wa taifa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na wazai wao wanafunzi hawa wamesema kuwa jambo hili litathiri mno matokeo ya mtihani.

Wamesema kuwa kuna mahali pamoja pa kufanyia mitihani katika tarafa na kuwa hili linamaanisha kuchapa miguu wakati wa saa tatu bila kupata chakula cha mchana.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mmoja wao kwa jina la Anitha Mukandori ameleza kuwa haitakuwa rahisi kwa kuwa watafanyia mtihani utafanyiwa mbali na nyumbani na kuwa ni jambo ambalo linazingatia vikwazo kadhalika kama vile mvua,njaa, kiu na uchovu mwingi.

Wazazi wamesema kwamba wanawao wanaweza kuja wakafeli kulingana na mazingira watakayofanyia mtihani wa taifa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Diwani makamu kwa wajibu wa mambo ya kijamii wa wilaya ya Rubavu,Mari Grace Uwampayizina ameleza kuwa kuna baadhi ya wanafunzi watakaofanya mtihani na kuwa wanatarajia kutafuta namna ya kuanzisha mahali pengine pa kufanyia mtihani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mtihani wa taifa utaanza tarehe 20 Novemba 2017.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.