kwamamaza 7

Rubavu: Wafungwa 46 waachiliwa huru kwa msamaha wa rais Kagame

0

Wafungwa 46 ambao walikuwa katika gereza ya Rubavu wamefunguliwa kwa usamehe wa rais Paul Kagame, wanahakikisha kwamba wamekombolewa na wanaamini kuishi vizuri katika familia ya wanyarwanda bila kuyafanya tena makosa na dhambi tena.

Walipofika nje ya gereza, wale ambao walifanya muda murefu sana gerezani wamesema kwamba wanatoka na maamuzi mapya ya kujenga familia na kukomboa muda waliopoteza wakiwa mbaroni.

Maniriho Evariste mmoja miongoni mwao alisema, “kwa ukweli tunafurahi sana, kwanza ninamshukuru rais wa Rwanda Paul Kagame kwa kuwa alitufikiria sana, niliwazia kwenda kinyume na sheria, hasa nitatembelea sheria ili nijijenge mwenyewe kwa matendo nikitembelea sheria kwani ndio chanzo ya mafanikio”.

[ad id=”72″]

Sp Kayumba Innocent, kiongozi wa gereza ya Rubavu, aliwaomba waliofunguliwa kwa rehema za rais  Kagame kuwa vielelezo mahali pote na kujilinda yale ambao yaweze kuwarudisha gerezani akiwaomba kutembea kama vile vitendo ya serikali.

Katika gereza ya Rubavu pamefunguliwa wapatao 46 ila kwa ujumla wapatao 814 ndio wamefunguliwa katika nchi yote kwa niaba ya msamaha wa rais wa Rwanda Paul Kagame.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.