Swahili
BIASHARA

Rubavu: Wafanya biashara wanaogopa kodi na ushuru

Katika tarafa tofauti za wilaya ya Rubavu walijenga soko nyingi ila hadi sasa kuna soko ambazo wakaaji wamekata kwenda kufanya biashara yao ndani na zilichukua pesa nyingi kwa ajili ya majenzi, lakini kando kando ya soko hizo huwakuta wakaaji wakiuza mambo tofauti.

Soko zilizo jengwa ni Rubavu, Rugerero pamoja na Kanzenze ambazo wakaaji hawajali, na soko ya mafugo ya Kanzenze.

Swala la kutowasili soko hizo ni swala ambalo watu hujiswali, Nkundabakiga Jean Paul ni kiongozi wa soko ya Rubavu anasema soko hilo lilijengwa mwaka wa 2010 kwa pesa miliyoni zaidi ya mia tatu, na likiwa nafasi ya kufanya biashara 288 na milango ya maduka 38.

Katika milango hiyo tatu pekee ndio hufanya kazi na na nafasi tatu juu ya 288, ila kando watu huendelea kufanya biashara yao.

Murorunkwere Olive ni mmoja wa wafanya biashara nje ya soko, anasema sababu ya kufanya biashara nje ni kwa sababu ndani ya soko huwalipisha pesa nyingi za kuzidi mapato kwani kwa muezi wanalipa pesa elfu tatu, na mara nyingi wanakimbizwa na DASSO.

Wale ambao hufanya biashra yao ndani ya soko wanaomboleza wakisema hawafanikiwe kwa sababu kuna soko zisizo kubaliwa na serikari kama katika viini na vijiji, na yote hufanywa viongozi wakitazama.

Viongozi wa wililaya husema wanakwenda kufanya yawezekanayo ili soko hizo zitumike kama iwezekanavyo, Murenzi Janvier ni kiongozi makamu anaye husika na uchumi eti “tunakwenda kufanya uhamasishaji ili kuongoa hizo soko ambazo hazikubaliwi na kutoka uito ili wakaaji waelekee soko za kimaendeleo”.

Soko kama hizo ni katika wilaya tofauti za nchi na mamoja hufanya miaka zaidi ya kumi, kuna soko ya Mukamira wilaya ya Nyabihu, soko ya Kirengeri wilaya ya Ruhango, soko ya Musha wilya ya Rwamagana, soko ya Ndatemwa katika wilaya ya Gatsibo na mahali pengine.

Hata kama kodi iko juu, wengi husema kuwa yalijengwa mbali na mahali wanapo ishi. Uongozi wa wilayaya Gatsibo wao husema ya kuwa hawawezi punguza kodi ilitolewa na sheria pia na kamati ya ushauri wa wialaya.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com