kwamamaza 7

Rubavu: Waamini wa Islam wanaomba kujiepusha ujambazi na wanamgambo

0

[ad id=”72″]

Viongozi wa dini ya Islma pamoja na polisi ya Rwanda wameomba waamini wa dini ya Islam katika wilaya ya Rubavu kujilinda na kujiepusha na kilicho  tofauti na mila ya Islam kama ujambazi na ukaidi.

Kwa maongezi, Mufti Sheih Hitimana sallim, ameomba wazazi na walezi kuwafundisha watoto wenye kuamini dini ya Islam mambo kama hayo kwani matokeo mengi mabaya huwafikia na hayo ndio yatatia usalama ndani ya familia zao na mahali wanapo ishi.

Kiongozi wa ngazi za kupinga vitendo vya wanamgambo katika polisi ya Rwanda, Assistant Commissioner of Police (ACP) Denis Basabose, naye alikuwepo, aliwambia kua wanaofanya vitendo hivyo vya ukaidi  huvaa nguo ya dini ya Islam, anawaomba kupiganisha hayo mapema kwa kutoa taarifa mapema kwa ngazi za polisi karibuni.

eti:” Mutusaidiye tuwalinde wakaaji wetu, sana vijano kutoenda kwenye makundi hayo kwani matokeo ni mabayo pakiwemo hata kifo”

Mufti Sheih Hitimana sallim amehakikisha kama waislam, watafanya kazi pamoja na ngazi za usalama wakizingatia usalama na kuwapiganisha wenye mafikara ya ukaidi kwani Rwanda hutaka maendeleo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.