Swahili
Home » Rubavu: Nyumba za Wanyarwanda walio kimbizwa Tanzania zimeanza bomoka
HABARI

Rubavu: Nyumba za Wanyarwanda walio kimbizwa Tanzania zimeanza bomoka

Nyumba hizo zilianza kujengwa mwaka wa 2014 jinsi zilivyo 24 zilijengwa bila misalane (choo) na kazi za kumalizia majendi bado kumalizika.

Kwa sbabu ya kukawiya kujaza nyumba hizo, moja ukuta umeanguka na nyingine ni karibu kuanguka, nyumba zingine huonyesha dalili ya kubomoka kama hajizengwe upya, kati ya nyumba hizo zote moja ndio imejengwa na kumalizika.

BAZIZANE Odette mmoja wa walio kimbizwa Tanzania, husema kwamba katika kijiji hicho wana tatizo nyingi, na anaendelea na kuwa tatizo kubwa wanao ni kukutania katika msalane tatu wakiwa jamii 24.

MUNYABEGA Alexis, kiongozi wao anasema kuwa wenye kuhisika na majenzi wamefika mahali hapo, hao watatu na hakuna lolote wanalo fanya tangu majenzi hayo hata kama zimeanza bomoka.

Aliye pewa kazi ya majenzi alisema kuwa ilihitajika pesa zipatazo miliyoni 15 za Rwanda, wilaya ya Rubavu ilitoa miliyoni 5 kwenye akaunti ya tarafa.

NSABIMANA Sylvain, kiongozi wa tarafa ya Rubavu alisema ya kwamba kwa siku chache wajenzi wa nyumba hizo watachunguza ni nini hukosekana ili majenzi yaanze upya na kwa zaidi yataongezewa katika mambo ya 2017-2018.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com