kwamamaza 7

Rubavu: Muganga wa chenyeji ametiwa mbaroni

0

Polisi ya Rwanda katika wilaya ya Rubavu imekamata Dusengimana Felicien mwenye umri wa miaka 39 akihukumiwa kuwadanganya watu kwamba yeye ni muganga wa chenyeji huku anatibu magonjwa tofauti.

Tarehehe 21 Novemba 2016 katika kata ya Nyakiriba, nyumbani kwake mganga palitokea kelele kubwa kwa sabau wagonjwa wawili walipigana , na palikuwepo wagonjwa 17, raia wa sehemu hiyo walipo sikia kelele waliambia polisi na ndipo msaada ulipatikana kwa gafla.

CIP Theobald Kanamugire msemaji wa polisi katika jimbo la magharibi alisema, “Bwana huyu anayejiita mganga wa chenyeji amewadanganya watu wengi na kusema kwamba yeye ana mamlaka ya kutibu magonjwa mengi”.

[ad id=”72″]

Polisi huendelea na kusema kwamba Dusengimana mwenye umri wa miaka 39 ana watoto wawili, na wagongwa wote 17 walikua wakiishi kwake na walikua wakilipa hata chakula ambacho alikua akiwatayarishia, na walipomshika wale wagonjwa wote walipelekwa hospitalini ili wapate matibabu kamili.

Baada ya upelelezi mshutumiwa akishikwa na makosa ataazibiwa kufungwa kati wa mwaka mmoja na miaka tatu na kutoa garama karibu miliyoni moja ya pesa za Rwanda.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.