kwamamaza 7

Rubavu: Miaka 6 wakijenga ukumbusho wa mauaji ya Kimbari na bado kumalizika

0

Wamoja wanaoishi wilaya ya Rubavu, tarafa ya Gisema husikitishwa na majenzi ya kumbukumbu ya Ukumbusho ulio anzwa kujenga mwaka 2011 sehemu ijulukano kwa jina la “Commune Rouge” hadi sasa majenzi bado kumalizika.

Uwimbabazi Chantal na Birijya Aline Sharif ni wanusra ma mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi katika tarafa ya Gisenyi, wanasema ukumbusho ikimalizika kujengwa itasaidia kwa kuzingatia historia ya mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi katika kilicho itwa Prefecture ya Gisenyi.

Wanasema hayo wakati mkandarasi aliye husika na majenzi ajulikanaye kwa jina la Ndekezi Charles akisema kwamba wilaya humaliza miaka miwili bila kumulipa pesa zake alizo tumia kwa kujenga zipatazo miliyoni 20 za Rwanda.

Eti “niliebukana ushindi wa kujenga huu ukumbusho, niliombwa kutumia pesa zangu wakisema nitarudishiwa na hadi sasa sijapata na ndio sababu majenzi kakoma”.

Rurangwa Eric, kiongozi anaye husika na mila na michezo, naye hujiswali sababu majenzi kazemmbea hadi sasa tukimbuka mara ya 23 mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi, ila kasema kwamba wanaendelea kuongea na uongozi wa wilaya kwa kuweza tatua swala hilo.

Upande mwengine, Kabanda Innocent, kiongozi wa “Ibuka”naye pia huendelea kujiuliza hata zamani ilipo itwa prefecture ya Gisenyi viongozi wote hawakusamini kujenga ukumbusho wa “Commune Rouge” kwa kuwa kunaweka historia kubwa ya mahali hapo na ni mahali hapo palipo mwili wa bikira Niyitegeka Felisita aliyefanywa mmoja wa mashujaa wa nchi.

Hivi ukumbusho wa mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi katika Gisenyi Commune Rouge palizikwa miili 4613, iliyotoka katika mashimo ya ujumla, na kuzikwa kwa heshima tarehe 21 Juni 2014.

Uongozi wa wilaya ya Rubavu husema kuchelewa kwa majenzi ya Ukumbusho ulitokana na ukosefu kipesa, Uwampayizina Marie Grace, kiongozi makamu anaye husika na maisha bora ya raia eti “katika mpango wa mwaka huu ujao tutazidisha pesa ili kuongeza kujenga ukumbusho wa mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande wa mkandarasi ambaye hakulipwa, kiongozi huo alisema kuwa wanaendelea kuongea naye ili aweze lipwa na anasema kuwa ni yeye mwenye kazi ya majenzi.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.