Swahili
Home » Ripoti za HRW kwa Rwanda zafuata nyayo za mashirika na utangazaji ambavyo Mbanda alishtaki kuegamia upande mmoja.
HABARI MPYA SIASA

Ripoti za HRW kwa Rwanda zafuata nyayo za mashirika na utangazaji ambavyo Mbanda alishtaki kuegamia upande mmoja.

Shirika la Human Rights Watch (HRW) la tangaza ripoti kuhusu Rwanda kwamba haikuweko uhuru wa siasa katika mambo ya  uchaguzi wa rais uliotokea tarehe  4 Agosti 2017.Haya ni madai sawa na yaliyotangazwa na mashirika na watangazaji ambayo mmoja wa wahenga wa mambo ya kisiasa,Gerald Mbanda kupitia maandishi yake alifafanua kwamba  mashirika na watangazaji hawa hawakutia usawa.

Mwanasiasa na kiongozi kwa wajibu wa utangazaji wa RGB akiwahotubia watangazaji

Hizi ni ripoti zilizotiwa nje siku aliyokula kiapo rais aliechaguliwa,Paul Kagame tarehe 18 Agosti 2017 zilisema kuwa haikuweko uhuru wa siasa katika mambo ya uchaguzi wa rais.Ni baada ya kiongozi wa utangazaji kwenye bodi ya nchi ya utawala(RGB),Gerald Mbanda kutangaza kuwa miongoni mwa  watangazaji na mashirika wanapaka masizi Rwanda na rais Kagame kwa faida zao peke.

Mbanda aliendelea akisema kuwa raia wa Afrika wanahitaji kuacha kufikiri kuwa watapata maendeleo watakapofuata maoni ya watu kutoka ulaya.Mbanda anakana madai ya kiongozi wa HRW katika Afrika ya kati,Ida Sawyer aliyeeleza kuwa haikuweko uhuru wa kutoa maoni  na mengine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ripoti hii inaendelea ikisema kuwa misada waliyoyitoa wanachama wa RPF hawakutoa misada yao kwa nia yao na inatoa mfano wa wa mlowezi mmoja aliyechagua kwa nguvu na yaliyotokea wilaya ya Nyamagabe kuwa aliwaona  mafisa wa uchaguzi wakisaini makaratasi ya uchaguzi kama 200.

Kiongozi wa HRW mwa Afrika ya kati,Ida Sawyer

Yaliyomo ya ripoti hizi yote Mbanda aliyakana kupitia maandishi yake”How western media gets it wrong on Rwanda’kupitia Ghananews.Inaonekana kuwa Rwanda ilikuwa haitegemei lolote jema kutoka ripoti hizi kwa kuwa nyingi mwa ripoti za HRW Rwanda huzikana mala nyingi ikisema kwamba ni madai ya wapinzani wa serikali ya Rwanda.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com