kwamamaza 7

Real Madrid vs Juventus: Mwangaza kwenye fainali ya Cardiff

0

Ikiwa leo ni fainali ya Ligi ya mabingwa Ulaya tutasubiri iwapo Real Madrid itakuwa mabingwa kwa mara ya 12 ama Juventus watalaza na kujitolea ubingwa kwa mara ya 3 ya historia yake.

Pambano hili lishakuwa la kihistoria kwa kuwa timu hizi zinazokutana kwa mara ya 19 ikiwa ndilo la pili kuchezwa mara nyingi baada ya Real Madrid vs Bayern Munich 24. Juventus wakishanda pambano hili watakuwa wana mabingwa tatu musimu huu ambapo Real Madrid watakuwa wa kwanza kutetea ubingwa huu mara ya kwanza tangu musimu wa 1989-1990 AC Milan iliposhinda ubingwa huu.

Real Madrid iliwahi kufika fainali 15 za Champions League mara nne kuliko timu nyingine yoyote ambayo ni AC Milan ikiwa mara na mara 11. Real Madrid iliwahi pia kushinda fainali tano za awali ambazo ni ya ( 1997,1998,2003,2013,2015,) ya karibu waliyoipoteza ikiwa ni dhidhi ya Liverpool mwaka 1981 .

[xyz-ihs snippet=”google”]

Juventus walichezi fainali 8 za ligi za Ulaya kwa ujumla ampapo walishinda mbili miongoni mwa hizo ikiwa ndio timu yenye rekodi mbaya ya asilmia 25%.

Juventus hawakuishindwa hata mechi moja msimu huu ikiwa hakuna timu iliyoshindwa ubibingwa bila kupigwam , isipokuwa Manchester United iliyokuwa mabingwa mwaka 2008-2009 wakishinda Chelsea kwa mikwajuu ya penati.. Timu ya awali kufanya hii ilikuwa ni Atletico Madrid 2013/2014.

Kwa ujumla wa mechi 19 , Juventus walishinda mara 9 na Real Madrid 8 na Sare ya mechi 2.

Timu ya Real Madrid ya Zinedide Zidane na Juventus ya Massimiliano Allegri zinashuka dimbani zikiwa na vikosi kamili isipokuwa Pepe alie na jeraha na Pjca kwa upande Juventus.

Tusubiri hapo saa 9: 45 Saa ya Afrika ya mashariki na Saa 8:45 saa ya Afrika ya Kati kwenye Millenium Stadium, Cardiff, Wales.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.