kwamamaza 7

RDF yafasiriya fununu za upigaji risasi nchini Burundi, Rweru

0

Jeshi la Rwanda limekanusha na kukana taarifa ambao hutolewa na sekta tofauti za Burundi ambazo husema kwamba raia wa Burundi alipigwa risasi kwenye leki ya Rweru jumamosi tarehe 29 Oktoba 2016.

Gavana wa mkoa wa Kirundo, Melchior Nankwahomba, ameambiya ofisi ya utangazaji habari ya uchina kwamba jumamosi asubui wanajeshi wa Rwanda walimpiga risasi raia wa Burundi, ila kwa upande wa Rwanda wamekana hayo na kusema kwamba hiyo ni uongo  kama vile husema msemaji wa jeshi la Rwanda Lt Col René Ngendahimana.

[ad id=”72″]

Lt Col René Ngendahimana amesema kwamba jeshi la Rwanda ambalo huhusika na usalama wakati huo lilipiga lisasi hewani kwa sababu waliwaona watu sehemu isiyokubaliwa kuvua samaki na mmoja mwao akatoka ndani ya maji ili kuwafasirilia wanacho kifanya.

Aliendelea kusema kwamba kakuna aliyepigwa risasi na jeshi la Rwanda ,walipiga risasi hewani ili kuwatulisha na kuwauliza sababu ya kuvua hapo.

Eti kusema kwamba mwanajeshi wa Rwanda amemuua raia wa Burundi hayo yamekuwa mambo ya uzoefu kwa kudanganya ni fununu zisizokuwa na ukweli.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.