kwamamaza 7

RDC: Raia wa Rwanda 15 wamekamatwa wakiwa ndani ya M23

0

Katika mapigano kati ya jeshi la Congo FARDC na wapiganaji wa M23, husema kuwa jeshi la Congo liliwaua wapiganaji 20 wa M23, wakateka nyala 25 pakiwemo raia wa Rwanda 15 na hayO yote ni katika mapigano ya siku nenda tangu tarehe 27 Januari 2017.

General Léon Mushale, kamanda wa jeshi la Congo amesema ya kuwa hao walio kamatwa nyala walipelekwa kwenye uongozi wa Raia mjini Goma jana tarehe 1 Mach 2017.

Gen. Léon Mushale  akiongea na radio Okapi alisema ya kuwa kitendo cha kuwinda wapiganaji wa M23 kilifanyika sehemu mbili, kwanza ni katikati ya mlima Mikeno na Kalisimbi, na sehemu ya pili ni karibu ya mpaka wa Uganda na mlima Sabyinyo, na wapiganaji 20 wakauawa na wengine 25 wakatekwa nyala na walikamata vifaa tofauti. Hao waliotekwa nyala 25 palikuwemo raia 15 wa Rwanda na wengine 10 wa Congo.

Gen.Mushale  aliendelea na kusema ya kuwa wapiganaji wengine walikimbilia Rwanda na Uganda na huko wana vikao, ila anasema ya kuwa hawatakubali shambulio lolote kuingia Congo.

Eti’’ ninaposema, M23 walikimbilia Uganda na Rwanda na nchi hizi zilikubali kwamba waliingia, tunaomba kuwa makini kwa kuwa adui aliye kimbiya hakushindwa, ni adui ambaye anaweza kujikusanya ili ashambulie tena. Inatubidi kuwa hodari ili wakati watakapo rudi wakute tupo njiani mwao na watashindwa kwa muda kitambo”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa kumalizia alisema ya kuwa anaamini kwamba Rwanda na Uganda watapatia serikali ya Congo wapiganaji walio kimbilia huko.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.