Swahili
Home » Rayon Sports yafuzu robo fainali baada ya kuinyuka Yanga Africans
MICHEZO

Rayon Sports yafuzu robo fainali baada ya kuinyuka Yanga Africans

Timu ya Rayon Sports nchini Rwanda imeipiga goli moja kwa nunge Yanga Africans nchini Tanzania.

Goli hili limefungwa na mchezaji Caleb Bonfils Bimenyimana nambasaba mgongoni kwenye dakika ya 19, kipindi cha kwanza.

Ushindi huu umeiwezesha Rayon Sports kufuzu robo fainali ya michuano ya  CAF Confederations Cup na alama tisa.

Timu ya Gormahia na Yanga zimeondolewa kwenye hii michuano.

Hii ni mala ya kwanza timu nchini Rwanda kufuzu robo fainali ya CAF Confederations Cup katika Historia ya Kandanda nchini.

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com