kwamamaza 7

Ratiba ya Ligi ya Premia ya Uingereza yatangazwa

0

Ratiba ya EPL musimu wa 2017/2018 inatarajiwa kuanza mwisho wa wiki wa tarehe 12-13 mwezi wa nane.

Chelsea ambao ni mabingwa wataanza kwa kucheza na Burnley, Arsenal wakimenyana na Leister City, Manchester United waikaribisha Westerham United, Tottenham watakuwa wenyeji wa Newcastle, Manchester City wakiwa kwa Brighton, na Liverpool wakiwa kwa Watford.

Katika musimu huu hatutachelewa kutizama mechi kali kwa kuwa kwa siku ya pili ya michezo tutaona mahasimu wa Landani Tottenham ikicheza na Chelsea kwenye Uwanja wa Wembley.

Na Manchester United pia itakuwa ikicheza dhidi ya Everton.

Siku ya tatu ndipo moto utawaka huku tukishudia Liverpool ikimenyana na Arsenal na Manchester United itaikaribisha Leicester City ambapo Chelsea itakuwa ikicheza na Everton.

Tarehe kamili za mechi kupigwa hazijatangazwa baado huku kukisubiriwa uamuzi wa mechi kupeperushwa kwenye TV.

Msimu huu ambao unaanza tarehe 12/Agosti utamalizika tarehe 13 Mei wiki moja pungufu kulingana na msimu uliopita kwa ajili ya maandalizi ya Kombe la Dunia ambalo litaanza mwezi baadaye.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Saturday, 12 August, 2017( Wiki ya kwanza)

Arsenal v Leicester City
Brighton v Manchester City
Chelsea v Burnley
Crystal Palace v Huddersfield Town
Everton v Stoke City
Manchester United v West Ham United
Newcastle United v Tottenham Hotspur
Southampton v Swansea City
Watford v Liverpool
West Bromwich Albion v AFC Bournemouth

Saturday, 19 August, 2017 (wiki ya pili)

AFC Bournemouth v Watford
Burnley v West Bromwich Albion
Huddersfield Town v Newcastle United
Leicester City v Brighton
Liverpool v Crystal Palace
Manchester City v Everton
Stoke City v Arsenal
Swansea City v Manchester United
Tottenham Hotspur v Chelsea
West Ham United v Southampton

Saturday, 26 August, 2017 (wiki ya tatu)

AFC Bournemouth v Manchester City
Chelsea v Everton
Crystal Palace v Swansea City
Huddersfield Town v Southampton
Liverpool v Arsenal
Manchester United v Leicester City
Newcastle United v West Ham United
Tottenham Hotspur v Burnley
Watford v Brighton
West Bromwich Albion v Stoke City

Saturday, 9 September, 2017(wiki ya nne)

Arsenal v AFC Bournemouth
Brighton v West Bromwich Albion
Burnley v Crystal Palace
Everton v Tottenham Hotspur
Leicester City v Chelsea
Manchester City v Liverpool
Southampton v Watford
Stoke City v Manchester United
Swansea City v Newcastle United
West Ham United v Huddersfield Town

Saturday, 16 September, 2017( wiki tano)

AFC Bournemouth v Brighton
Chelsea v Arsenal
Crystal Palace v Southampton
Huddersfield Town v Leicester City
Liverpool v Burnley
Manchester United v Everton
Newcastle United v Stoke City
Tottenham Hotspur v Swansea City
Watford v Manchester City
West Bromwich Albion v West Ham United

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.