kwamamaza 7

Rais Trump ategemea msaada wa Rwanda kwenye mabadiliko ya umoja wa mataifa

0

Rais wa marekani,Donald Trump ameweka wazi kundi dogo la nchi 14 zikiwemo Rwanda zitakazotoa mchango kwenye mabadiliko ya umoja wa mataifa.

Kwa mujibu wa taarifa za KTPress,rais Trump na kiongozi wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres wataungana mkono kwenye mkutano tarehe 18 Septemba 2017 kwa kubadilisha mfumo wa kufanya kazi za Umoja wa Mataifa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Nchi nyingine ni Uingereza,Canada,Uchina,Ujerumani,Uhindi,Indonesia,Japani,Jaordan,Niger,Senegal,Slovakia,Thailand na Uruguay.

Ni baada ya rais Trump kutangaza kuwa muungano huu haufanyi kazi vilivyo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwenye mkutano huu inatarajiwa kuwa Trump na Guterres pia barozi wa marekani kwa umoja wa mataifa watahotubia washiriki kama inavyotangazwa na AFP.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.