kwamamaza 7

Rais Paul Kagame asubiriwa nchini Morocco

0

Rais wa Rwanda Paul Kagame asubiriwa Morocco mjini  Marakech katika mkutano wa 22 wa nchi ambazo zilitia mkataba wa uhusiano mwema na biashara kwa nyakati (COP22), mwingine ulifanyikia mjini Paris; Disemba 2015.

 Mkutano huo utafanyika mjini Bab-Ighli na inafikiliwa kufita takribani nchi 195 ambazo zimetia mkataba huo kwenye familia ya Umoja wa mataifa na watazungumzia yale waliosema wakiwa Paris na kuyatia ndani ya matendo zidhi ya kuchunguza namna ya kupambana na joto kubwa inayopanda kila siku ulimwenguni.

[ad id=”72″]

Kundi ambalo huandaa mkutano huo wa COP22  kupitia twitter wametangaza kwamba rais wa Rwanda Paul Kagame amekubali kuhuzuria mkutano huo kwa mwaliko wa mfalme Mohammed VI.’’, mkutano huo utaanza tarehe 7 hadi 18 Novemba na unafuatana na mwingine ambao ulifanyika Kigali ambao ulikua zidhi ya kuchunguza mkataba wa Montreal kuhusu joto ulimwenguni, na wakakubaliana kupambana na yale ambayo yanaharibu hali ya angani.

Mkataba huu wa Paris utaanza kutekelezwa tarehe 4 Novemba 2016, inamaanisha kwamba siku 30 nchi ambao ni 55 na huwa na hali ya kuhalibu anga kiwasi ya 55%, wamehakikisha kulinda hali ya hewa la angani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.