kwamamaza 7

Rais Paul Kagame ampongeza mshindi wa uchaguzi Donald Trump

0

Rais wa Rwanda Paul Kagame amempongeza rais mpya wa Marekani Donald Trump kwa ushindi wake wa kiti cha Urais bada ya kumshinda mgombea wa chama cha Democrates.

Kwa kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter, rais Kagame amemuahidi kuendelea urafiki na Marekani.

“Hongera Donald Trump kwa kushinda, tunautazama uhusiano mzuri na uongozi mpya wa Marekani.”

Leo hii Donald Trump ambaye amekuwa akiwakilisha chama cha Republican katika uchaguzi mkuu ameshinda kiti cha urais kwa kura 48% wakati Bi Hillary Clinton amepata kura 47%.

Viongozi wengi tofauti wamempongeza rais Donald Trump mithili ya rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza; rais wa Uganda, Yoweli Kaguta Museveni; Magufuli wa Tanzania na mwenyewe Vladmir Putine, rais wa Russia.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.