Rais Paul Kagame baada yake waziri mpya kula kiapo,amemshukuru mno waziri mkuu kwenye mamlaka iliyopita,Anastase Murekezi na kumpa nafasi ya ‘ombudsman’kwenye mamlaka mpya.

Waziri mkuu kwenye mamlaka iliyopita,Anastase Murekezi

Rais Kagame amesema kwamba Murekezi alitenda mema kadhalika na kuwa alisaidia nchi kuyafikia mengi alipokuwa madarakani kama waziri mkuu.

 

Waziri mkuu mpya,Dr.Edouard Ngirente akikula kiapo

Amesema”Nashukuru sana waziri mkuu Murekezi kwa kutimiza wajibu wake vilivyo”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame ameongeza kwamba bidii  na ujasiri wa  Murekezi haikuwa kuijkaza kisabuni kwa hiyo anastahili kazi nyingine mpya.

 

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina