kwamamaza 7

Rais Nkurunziza ajiandaa kuondoa majeshi wake Somalia

0

[ad id=”72″]

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ametoa taarifa ya kwamba serikali yake inakwenda kujitayarisha mashtaka kwa ajili ya Umoja wa Ulaya kusimamisha mishahara ya wanajeshi wa Burundi walio utumwani Somalia

Wanajeshi wa Burundi ni wamoja wa vikundi vilivyoko Somalia kwa kuzingatia usalama na amani na hasa karibu mwaka mmoja bila kupata mishahara yao.

Kwa sasa rais Nkurunziza ametangaza kuwaondoa wanajeshi wa Burndi katika kikosi kijulikanacho kwa jina la AMISOM huko Somalia ijapokua hajajibiwa lolote.

Mara nyingi taarifa ilikua ikisema kwamba askari jeshi wa Burundi walioko Somalia kua hawapati mishahara yao, wamoja walikua wakisema kama ni serikali ya Burundi kuhusika na hayo, hasa serikali ya Burundi nayo husema kua ni Muungano wa Ulaya unaozuia mishahara ya wanajeshi wa Burundi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.