Swahili
HABARI

Rais Museveni ameshitakiwa kwenye mahakama ya kimataifa (ICC)

Mahakamaya kimataifa wametoa taarifa ya kusema kwamba wamepokeo mashtaka yanayomuhusu rais Yoweri K. Museveni wa Uganda, na waliomushtaki ni katika wilaya ya Kasese.

Viongozi hawa wanamshutumu Museveni mauaji yaliofanyika mwezi Novemba 2016, wakati wanapolisi walishambulia kikao cha mfalme wa Rwenzururu, na watu zaidi ya 100 kapoteza maisha.

[ad id=”72″]

Mbunge Winnie Kizza kutoka wilaya ya Kasese amesema kama amepata ujumbe wa mwendesha mashtaka wa mahakama ya kimataifa ICC, Fatou Bensouda , ujumbe ukisema kwamba wamepokea mashtako yao kama vile husema KFM Uganda. Kizza asema kua ICC  itajulisha kama imeamua kufuatilia kupia maandiko.

Washutumiwa ni rais Museveni, na mawaziri Asuman Mugenyi, Peter Ecweru, wote wakishitakiwa kwa pamoja.

Kiiza anahakikisha kwamba karibu watu 130 waliuawa wakati kikao cha mfalme wa Rwenzururu Omusinga Charles Mumbere kushambuliwa tarehe 26 na 27 Novemba 2016.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com