kwamamaza 7

Rais Museveni amemvika mwana we Gen Muhoozi medali ya heshima

0

Major Gen Muhoozi Kainerugaba, mwana wa rais Museveni wa Uganda siku chache nenda alibadilishiwa huduma kwa sasa amevikwa na babayake mzazi medali ya heshima kwenye sherehe ilifanyika Lango tarehe 6 Februari 2017.

Pamoja na wengine wana jeshi tofauti, rais Museveni aliwavika medali hizo alizo ziita jina la “The Rwenzori Star Medal”, medali hio hupewa waaskari wenye mfano mwema, ni medali yenye usamini wa ngazi ya tatu katika jeshi la Uganda (UPDF).

Medali hio pia hupewa jeshi mwenye majukumu ya hali ya juu na mwenye ushujaa, na rais mwenyewe ndiye anayekubaliwa kuvika hio aina ya medali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

“The Rwenzori Star Medal” ni medali iliyo itwa kwa jina la mlima Rwenzori, ambao ni moja ya milima mirefu ya Afrika, na mlima huo una kihistoria katika vita ya kukomboa Uganda.

Pamoja ba Muhoozi wengine walio vikwa ni Brigadier Wasswa Bakalege, , Lt Gen Andrew Gutti, Maj Gen Mugira,

Januari 2017 ndipo Maj. Gen. Muhoozi Kainerugaba, alipewa majukumu ya kuwa mshauri wa Rais na kuhusika na mambo ya askari. Wengi Uganda walijiswali namna Muhoozi alivyo kuwa akipewa madaraka lanka siku kwa siku.

Wamoja katika jeshi la Uganda walikuwa wakisema kupandishwa vyeo kwa Muhoozi ni upendeleo na ndio sababu walifikiri anamutayarisha kuwa rais wakati Museveni atakapo choka na kumupa nafasi ya utawala, na wakati Gen David Sejusa alipo gusia hayo hali ilikuwa mbaya na wakati huo akakimbilia Uwingereza.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.