Juma tatu tarehe 6 Februari 2017, rais Museveni wa Uganda alishitua watu aliposema yanao fanana sheria na kusema askari ama mtu mwengine atakaye kamatwa akifanya ubakaji kwa mwanamke ao msichana atakuwa napigwa risasi.

Ametangaza hayo wakati walikuwa wakisherehe siku kuu ya jeshi la Ugama ya mara 36, eti “anaya baka ni muuaji, ndio sababu atakaye kamatwa akifanya ubakaji atauawa naye pia”.

Kwenye sherehe, rais Museveni alishukuru jeshi la UPDF kwa ajili ya yale ambayo wameyafikia akisema ni mwenendo mwema.

Amesema ya kuwa takataka hazikosekani ila atakaye onekana katika mwenendo mbaya kama vile wamoja walivyo fanya, ataazibiwa vikali ili iwe mfano kwa wengine hadi azabu ya kifo.

Amesema eti “atakaye ua nasi tutamuua, atakaye baka atapigwa risasi”.

Hapo alisema akionyesha ya kuwa yeyote anaye baka anaweza ambukiza magonjwa yaneyopelekea kifo, kwa hayo anayeambukiza mwengine ni kama muuaji kwa hayo sherti naye auawe. Serikali ya Uganda ni moja wa nchi za Afrika ambazo hutilia mkazo azibu la kifo.

Rais Museveni alisema ya kuwa kila kosa litakuwa likitiwa uzito na mahakama ila kosa la ubakaji na uuaji azibu ni kifo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com,chanzo:dailymonotor

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.