kwamamaza 7

Rais Mugabe amejaza miaka 93, anahamasisha kuwania uongozi tena

0

Leo tarehe 21 Februari 2017, rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, amejaza miaka 93 na anasema ya kuwa atawania nafasi ya kuongoza mwaka kesho, raia wanamupenda na vigumu kupata mwengine wa kuchukua nafasi yake kama vile maongezi alio toa kwenye televisheni ya nchi ZBC-TV.

Eti “wanachama wangu wanataka niongoze tena, raia karibu ya wote wanaona hakuna wa kuchukuwa nafasi yangu, na wakuchukuwa nafasi yangu hawatamukubali jinsi wananikubali”.

Mugabe alisema kuwa yeye na rais wa Marekani Donald Trump wanaona sawa sawa mambo ya siasa, ila anaomba muda na bahati.

Aliongeza na kusema ya kuwa alishituka Trump alipo chaguliwa na kweli Mugabe hakupenda Hillary Clinton atawale. Eti “Nilijua Hillary Clinton akipita angelitutesa sana”
Reuters husema kwamba Mugabe anaamini ya kwamba atafikirilia azibio la Zimbabwe na anaweza raisisha.

Mara nyingi Mugabe hufanya sherehe ya kuzaliwa kwake kwa hali ya juu ijapo kuwa nchi inavamiwa na umaskini.

Mwaka huu sherehe itafanyika katika jimbo Matabeleland kaskazini ya Zimbabwe na inatarajiwa kama wakulima watamupa ng’ombe 150 ambazo zitaliwa kwenye sherehe.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.