kwamamaza 7

Rais Kagame yupo katika ziara ya siku mbili Djibuti

0

Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame, akiwa pamoja na mke wake Jeannette Kagame, leo tarehe 18 April wamewasili mji mkuu wa Djibuti katika ziara ya siku mbili.

Ziara hio ni moja ya ziara ambazo rais Kagame alianza mwishoni mwa mwaka 2016 akiwa na lengo la kuzua na kuzingatia ushirikiano na mataifa.

Mwanzo wa mwaka 2017 rais Kagame alifika katika bara la Asia huko India katika mkutano wa Vibrant Gujarat Global Summit tarehe 9 hadi 11 Januari 2017.

Alipo toka India alielekea Mali katika mktano wa Afrika na Ufaransa, baada ya hapo alikwenda katika mji wa Davos/ Uswisi katika mkutano kimataifa tangu tarehe 17 hadi 19 Januari 2017.

Rais Kagame alishiriki mkutano wa 28 wa wakuu wa nchi katika bara la Afrika wenye kuunda AU huko Ethiopia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rwanda siku nenda ilipatia nchi ya Djibuti ardhi ipatao hekta 10 sehemu ya viwanda (Special Economic Zone) na mkataba kasainiwa kwenye kikao cha rais wa jamhuri kati ya RDB pamoja na viongozi wanaohusika na vituo Djibuti, mwaka 2013 Djibuti pia ilipatia Rwanda ardhi ipatayo hakta 20 kwenye kituo cha Djibuti.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.