kwamamaza 7

Rais Kagame pamoja na waziri mkuu wa Ethiopia walifanya kazi ya umma kwa pamoja

0

Rais Kagame akiwa pamoja na mke wake, Jeannette Kagame wakiwa pamoja na waziri mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn na mkeo walishirikiana na raia wa Kacyiri kwa kufanya kazi ya umma ya mwezi huu wa nne kwa pamoja.

Kazi a umma ya tarehe 29 April 2017, viongozi hao waliifanyia katika tarafa ya Kacyiru, wilaya ya Gasabo, mjini Kigali. Tendo hilo lilikuwa kujenga nafasi ya kusomea vitabu (school library) kwenye kikao cha shule ya msingi ya Kacyiru.

Waziri mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn pamoja na mkeo Roman Tesfaye walifika Kigali Alhamisi tarehe 27 April 2017 katika ziara ya kazi na walipokelewa na rais Kagame akiwa na mkeo Jeannette Kagame na tarehe 28 April walisaini mkataba wa kufungua abalozi mjini Kigali, kikao kikawa sehemu ijulikanayo kwa jina la Gacuriro.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ilitarajiwa kuwa ziara yao waziri mkuu Hailemariam Desalegn na mkeo Roman Tesfaye, kumalizika juma moshi baada ya siku tatu wakiwa Rwanda.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.