kwamamaza 7

Rais Kagame pamoja na Nyusi kwa niaba ya kuwajengea Raia maendeleo

0

Kwa ziara ya kazi ya siku mbili nchini Mozambique, rais Kagame na mwenzake wa Mozambique, wameamua kuwajengea raia wa nchi hizo mbili kimaendeleo kwa maisha yao ya kila siku.

[ad id=”72″]

Waziri wa uhusiano na mataifa Louise Mushikiwabo alitoa taarifa na kusema kwamba rais hawo wawili wapo kwenye maongezi ili kuambatana kwa ajili ya maendeleo ya nchi hizo mbili.

Waziri huyu pia kasema kwamba rais wa Mozambique amehakikisha kwamba hakuna hata mtu moja awezaye kutoka Mozambique ili kuvamia usalama wa Rwanda.

Ziara hiii ya siku mbili kwenye nchi ya Mozambique, rais Kagame aliifanya tangu tarehe 24 Oktoba mwaka huu wa 2016.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.