kwamamaza 7

Rais Kagame na Nkurunziza wanaweza kutania katika sikukuu Tanzania

0

[ad id=”72″]

Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania, leo tarehe 9 disemba ndipo atabariki siku kuu ya kusherekea miaka 55 Tanzania ikipata uhuru, atashiriki hayo sasa akiwa rais kwani alikua rais tarehe 5 Novemba 2015.

Rais Magufuli mwaka jana hakufanyisha sikukuu hii na katika hazina ya inchi mulipatikana hakiba ibatayo shilingi biliyoni 4 na zilifanya kwa kutengeneza barabara katika mji wa Dar es Salam.

Sikukuu hio imetayarishwa siku ya leo kwenye stedium ya Dar es Salaam na michezo tofauti imeandaliwa, hata ma rais wengi kutoka nchi tofauti kama Uhuru Kenyatta wa Kenya, Yoweri Museveni wa Uganda, Paul Kagame w’u Rwanda, Pierre Nkurunziza w’u Burundi, ndetse na Edgar Lungu wa Zambia kama vile husema AllAfrica.

Wengine ni Robert Mugabe wa Zimbabwe, Joseph Kabila wa DRC na Denis Sassou Nguesso wa Congo Brazaville.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.