kwamamaza 7

Rais Kagame kwenye mwaliko wa waziri mkuu wa India

0

[ad id=”72″]

Rais wa Jamhuri ya Rwanda pamoja na wafanyabiashara watakua kwenye mkutano wa uchumi India tarehe 9-12 Januari 2017 kwa mwaliko wa waziri mkuu wa nchi hiyo.

Kwenye mkutano huu kutakuwepo wafanya biashara kutoka sehemu tofauti za ulimwengu, ni bahati kwa nchi ya Rwanda kwani Rasi Kagame atapewa muda na kueleza umuhimu wa kufanya biashara Rwanda na kabla ya hapo yawezekana Rwanda kufaidika wafanyabiashara wengi wa kimataifa.

Katika mkutano huu inatarajiwa kua rais Kagame atakuwa na maongezi ya kikazi na waziri mkuu wa India katika mji wa Gandhinagar managribi mwa India.

Ni mara ya nane mkutano kuandaliwa na ina lengo la “uchumi na maendeleo ya wakaaji” (Sustainable Economic and Social Development).

Uhusiano wa Rwanda na India ni imara kwa kuwa wafanya biashara wengi wapo nchini Rwanda na kwa upeke bwawa ya umeme wa mto Nyabarongo ni wao ambao wameujenga.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.