kwamamaza 7

Rais Kagame katika ziara ya kazi nchini Uchina baada ya kutoka Hong Kong

0

Rais Kagame katika ziara yake nchini Uchina atazungumza na mwenzake rais Xi Jinping leo tarehe 17 Mach 2017.

Ofisi ya urais wa jamhuri ya Rwanda husema kuwa rais Kagame yupo katika ziara ya siku moja. Na hayo ni baada ya siku moja akitoka katika mji  Hong Kong kuhusu usambasaji wa ubiashara wa mtandao kwa ajili ya maendeleo kamili.

prezi

Miradi hiyo huja kusaidia mikopo zaidi ya biliyoni 121 pesa za Rwanda iliyosimamishwa mwaka wa 2007 na misaada kwa ajili ya ujenzi wa barabara za mji wa Kigali.

Siku hizi Uchina hujenga pia gorofa la tarafa ya Kimihurura, mjini Kigali ambayo itatumiwa na wizara sita.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.