kwamamaza 7

Rais Kagame awasilisha nyaraka zake kwa Tume ya Uchaguzi

0

Hatimaye Rais Paul Kagame awasilisha nyaraka anazotakiwa kuonyesha ili aweze kuruhisiwa kuwa mgombea, kwa tume ya Uchaguzi.

Akiwa pamoja na viongozi tofauti wa chama cha RPF Inkotanyi akiwemu katibu mkuu wa chama hicho, Francois Ngarambe, rais Kagame awasilisha nyaraka zake kwa Tume ya Uchaguzi ambazo zilipokewa na Mkuu wa tume hii, Prof. Kalisa Mbanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kagame amekuwa akingojewa na watu mbalimbali ambao wengi wao walikuwa vijana

Rais Kagame aliteuliwa na chama chake kama mgombea ambaye atawania kiti cha urais katika uchaguzi wa hapo Agosti.

Iwapo atashinda uchaguzi kama inavyotarajiwa na wengi, atakuwa akiongoza kwa mhula wa tatu kufuatia mabadiliko ya katiba yaliyoidinishwa kupitia referandamu baada ya wanyarwanda mamilioni kuwasilisha nyaraka zao kwa bunge wakiomba madiliko haya hususani mwa ibara lake la 101 ambalo halikuwa linamruhusia kuwania muhula mwingine.

Rais kagame akiwa kwenye Tume ya Uchaguzi- picha

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.