kwamamaza 7

Rais Kagame awalaumu viongozi wasioelewana kazini

0

Rais wa Rwanda Paul Kagame amenyoshea vidole viongozi wa ngazi za juu hasa mawaziri ambao hawaelewani katika kazi yao, jambo ambalo linaathiri utekelezaji wa miradi ya serikali.

Rasi Kagame ametangaza haya kwenye mkutano wa Viongozi kwa jina la ‘Umwiherero’ wilayani Gatsibo.Rais amewauliza viongozi wanavyosuluhisha masuala mbalimbali kama hawaelewani na hawaongei wala kuhojiana kati yao.

Rais Kagame ameuliza”Je,Waziri mmoja na makamu wake kwenye wizara kama ya miundo mbinu,ukulima wanaotumikia nyumba moja,kama hawaongei,hawahojiani,hawakubaliani,hakuna wa kukosoa mwenzake na wana wanaongoza  wenzake,hawa wanafanya je mambo?”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia ameuliza kama suala hili  litatatuliwa kama  kila mmoja mwa viongozi ana uwezo wa kumchagua  makamu wake

“Walinipa mtu ambaye haelewi,sijui alipotoka,siyo rafiki yangu,Sasa nikisema kila mmoja amchague mwenzake,mnaweza kuja mkaelewana?”.

Pengine Rais Kagame amezungumzia kuhusu mapendeleo yanayojitokeza katika serikali kwa kusema kuwa hili ni kama utapia mlo.

Viongozi wamehudhuria’ Umwiherero’ kwa  mala ya 15.Hii ni fursa kwa viongozi kujijaribu wenyewe kuchunguza kama wanaufuata muelekeo wa serikali.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.