Rais wa Rwanda Paul Kagame amewaeleza viongozi waliohudhuria kikao cha mwisho wa mutano’Umwiherero’ kuwa kujihisi muhimu ni miongoni mwa sababu zinazosababisha kutotekeleza mipango mbali mbali ya serikali.

Rais Kagame amewataka  viongozi kukoma kujihisi muhimu kwa kuwa kiongozi bora anaridhika anapotimiza wajibu kwa kutekeleza jambo muhimu  kwake  na kwa watu wengine.

“ (…) unapoteza nini unapofanya kazi yako vilivyo bila kujiona wewe muhimu? Kuna wale ambao niliwapigia simu mimi mwenyewe nikawambia wasirudie kukubali kufanyiwa mambo ya kujihisi mhimu.Niliwaonya kuwa punde si punde  nitawafukuza ”Rais Kagame amesema

Pengine ameeleza kuwa viongozi hawasitahili kupoteza muda wao wakifanya mambo yasiyo na umuhimu

“Haya lazima kukoma,haya ni ghali na hayana maana.Fanya kazi yako,ikiwa hukubali malipo,hili ni suala kujadiliwa mala nyingine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame amewashuri viongozi kujaribu zoezi la kutojihisi muhimu.

Mkutano wa viongozi 300 kwa jina la Umwiherero’ umetokea mala yake ya 15. Mwaka huu ulianza jumma tatu wiki hii.

Kwa kawaida hii huwa ni fursa ya viongozi kujikosoa na kurekebisha mambo yanayowashinda ili kufuata muelekeo wa serikali.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.