Habari za kifo cha rais wa zamani na kiongozi wa mapinduzi nchini, marehemu Fidel Castro zilisambaa popote juzi; na viongozi tofauti duniani wametuma salamu za rambirambi kwa raia wa nchi baada ya kumkosa mkombozi.

Kwa kupitia kwa ukurasa wake wa Twitter, Rais Paul Kagame wa Rwanda ametuma salamu za rambirambi kwa leti Castro kwa kuendelea kuisha maisha ya kujikomboa.


Ujumbe umesema hivi, “Pumzika kwa amani Castro, mpiganaji jasiri aliyeisha maisha yote katika hali ya kujikomboa. Natuma salamu za rambirambi kwa raia wa Cuba.”

Mare
Marehemu Fidel Casto aliyeongoza Cuba miaka takribani 50

Fidel Castro, kiongozi wa zamani wa Cuba aliyeongoza mapinduzi ya Kikomunisti; alifariki dunia tarehe 25 November 2016 akiwa na umri wa miaka 90. Kakake ambaye ni rais uliopo madarakani wa Cuba, Raul Castro alithibitisha kwamba amiri jeshi mkuu wa mapinduzi ya Cuba alifariki dunia mwendo wa saa 22:29 usiku.

[ad id=”72″]

Fidel Castro alitawala Cuba kama taifa la chama kimoja kwa karibu miaka 50 kabla ya kakake Raul kuchukua hatamu 2006. Wakati wa utawala wake, alisaidia sana mataifa ya Afrika, hawa makundi yaliyokuwa yakipigania uhuru Angola na Msumbiji.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Theogene U @Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.