kwamamaza 7

Rais Kagame atuma rambirambi nchini Tanzania

0

Rais wa Rwanda Paul Kagame ametuma rambirambi zake kwa familia zilizofiwa watu wake katika ajali ya  ziwani Victoria ambako watu 151 wameaga dunia na watu 500 kukosekana.

Kupitia ukuta wake wa Twitter, Kagame ameandika” Rambirambi zetu za ndani kwa familia zilikosa watu wake na waathiriwa wa ajali katika ziwa la Victoria”

“ Mawazo yetu yangali nanyi. Hatuwezi kushukuru vya kutosha waliojaribu kunusuru watu”

MV Nyerere  ilizama Alhamisi ikielekea Ukala kutoka kisiwa cha  Bugolora, Mwanza.

Kwa Mujibu waa The Eastafrican  hili lilisababishwa na kuzidisha uwezo wake .

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.