Swahili
Home » Rais Kagame atua nchini Kenya kwa ajili ya mkutano wa ukanda wa kaskazini
HABARI MPYA

Rais Kagame atua nchini Kenya kwa ajili ya mkutano wa ukanda wa kaskazini

Rais Paul Kagame ametua nchini Kenya ilikuhudhuria mkutano wa 14 wa ukanda wa kaskazini unaolenga kuboresha maendeleo ya eneo la maziwa makuu.

Baadhi yatakayozungumziwa ni kuchunguza utekelezaji wa uamuzi wa mkutano wa mala 13 uliotokea mjini Kampala nchini Uganda.

Inatarajika kuwa kutazungumziwa kuhusu mradi wa (Standard Gauge Railway (SGR) kama vile ilivyotekeleza Kenya.

Mambo mengine ni  mambo ya teknolojia,umeme, wahamiaji,utalii, uchumi,kazi na huduma na mengine.

Kwenye huu mkutano kuna Rais wa Uganda, Museveni Yoweli na mjumbe wa Rais  Saliva Kiir.

Miradi ya ukanda wa kaskazini ilianzishwa mwaka 2013 kwa kuboresha maendeleo hasa kupitia miundo mbinu ili kurahisisha mawasiliano.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com