kwamamaza 7

Rais Kagame atua nchini Ghana kwenye mkutano wa ‘ Africa Transfrom 2018’

0

Rais wa Rwanda Paul Kagame leo amtetua mjini Accra, Ghana  kwa kuhudhuria mkutano wa ‘ Africa Transfrom 2018’ na kukaribishwa na  makamu wa Rais Mahamudu Bawumia.

Huu mkutano ulianza jana na itarajika kwamba utamalizika leo tarehe 21 Juni 2018.

Kwenye huu mkutano wamealikwa waheshimiwa wengine wakiwemo Rais Nana Akufo-Ado wa Ghana, Makamu Rais wa Ghana , Mahamudu Bawumia,  Makamu Rais wa Cote d’Ivoire, Daniel Kablan Duncan, tajiri wa kwanza barani Afrika, Aliko Dangote na Waziri wa Mali nchini Rwanda Dk. Uzziel Ndagijimana na wengine.

Huu mkutano unalenga kuhojiana namna za kuanda kazi,kuboresha uwekezaji na kuanzisha siasa za kubadili mfumo w mambo barani Afrika.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.