kwamamaza 7

Rais Kagame atua Addis Ababa kwa ajili ya mkutano wa AU unaofanyika kwa mara ya 29

0

Rais Kagame atua Ethiopia kushiriki katika mkutano mkuu wa Muungano wa Afrika( AU), rais Kagame afika hapo baada ya waziri wa mambo ya nje ya nchi Bi Mushikiwabo Louise kuwasili hapo Addis Ababa.

Waziri Mushikiwabo yeye alikuwa pale mapema Ijumaa kwa ajili ya mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje ya nchi wa nchi shirika uliokuwa kwa ajili ya maandalizi ya Mkutano mkuu.

Mkutano huu unaofanyika kwa mara ya pili mwaka huu baada ya ule uliofanyika jijini Kigali mwezi Januari.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Jambo la kuzungumziwa ambalo litapewa nafasi kubwa ni utekelezaji wa mabadiliko yaliyofanyiwa kahusu shughuli za muungano huu na hata ngazi za uongozi wa Muungano huu. Rais Kagame alikuwa mkuu wa jopo lililoandaa mabadiliko yanayogusiwa hapo.

Mkutano wa Muungano wa Afrika,unaoongozwa na Alpha Condé unafanyika kwa mara ya 29 ambao utafanyika rasmi tarehe 3 Julai 2017.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.