kwamamaza 7

Rais Kagame atimiza ahadi kwa wakazi wa Musanze

0

Rais Kagame amefikia ahadi  kwa wakazi wa Musanze ya kuwatembelea baada ya uchaguzi aliyowkubalia alipokuwa katika kampeni zake za uchaguzi tarehe 26 Julai 2017

Rais Kafame ametimiza hili kwa kuhudhuria sherehe ya kupatia majina sokwe mtu”Kwita izina” eneo la Kinigi,mkoa wa kaskazini na kushukuru mno  mchango wa wakazi wa wilaya ya Musanze katika uchaguzi.

Amesema”Nawashukuru mala mbili,mlitoa mchango mkubwa(…)”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame amewahamasisha kusisitiza ushirikiano kwenye mamlaka mpya yenye miaka saba na kulinda mazingira.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wakazi wa musanze walimchagua rais Kagame asilimia 98.80%

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.