kwamamaza 7

Rais Kagame ataongoza mkutano wa mawaziri 54 wa AU

0

Rais Paul Kagame anatayarisha mkutano wa mawaziri 54 wa uhusiano na mataifa, mkutano huo ukiwa na lengo la kujenga mabadiliko kuhusu maendeleo katika jamii ya Umoja wa Afrika kama majukumu aliyopewa mwaka wa 2016.

Inatarajiwa kuwa tarehe 7 Mei 2017 kuwa ndipo rais Kagame ataongoza mkutano huo mjini Kigali, kwa pamoja wakichunguza maendeleo yao kwenye bara la Afrika kwa ujumla.

Katika kundi ambalo litasaidia rais Kagame katika tendo hilo la mabadiliko ya Umoja wa Afrika, katibu makamu wa UN aliye wayi kuwa waziri wa mazingira wa Nigeria Amina J. Mohammed, yupo pamoja nao bila kusahau Dr Donald Kaberuka aliye ongoza benki ya Afrika ya maendeleo, wengine wakiwa Strive Masiyiwa, Tito Mboweni, Dr Carlos Lopes, Cristina Duarte; Vera Songwe pampja na Dr Acha Leke.

Tarehe 24 April 2017, rais Kagame alikuwa Guinea Konakry katika mkutano pamoja na wengine viongozi pakiwemo Conde, wa Guinea, rais wa Tchad, Deby pamoja na Moussa Faki Mahamat, kiongozi wa Umoja wa Afrika kwa sasa. Katika mkutano huo lengo ilikuwa kuhamasisha kuleta mabadiliko yaliyo tayarishwa na rais Kagame.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.