Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame anahudhuria mkutano wa siku mbili wa kujadili maendeleo unaofanyika nchini Ubelgiji.

Mkutano huu ambao unajulikana kama Journées européennes du développement 2017, utanafanyika tarehe 7 na 8 Juni 2017, ukileta pamoja nchi zipatazo 140.

Katika mahojiano na RBA, balozi wa Rwanda nchini Ubelgiji ameitangazia kwamba Rais Kagame amearikwa na Mkuu wa Tume ya Muungano wa Umoja wa Ulaya, ambapo atatamka na kutoa ushahidi kuhusu maendeleo ya Rwanda.

Amesema “ Ni mkutano ambao unaleta pamoja maelfu ya watu wadau wa maendeleo kutoka pande zote za dunia, akiwemo mashirika ya kijamii na nchi zipatazo 140.

Mkutano huu unafanyika kila mwaka, na ni fursa ya kuongea kuhusu maendeleo na njisi nchi zinazoendelea zinavyoeza kushirikiana na kuimarisha uhusiano kwa ajili ya kupunguza ufa wa kimaendeleo baina ya nchi hizo

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ina maana gani kumwarika rais?

Balozi Nduhungirehe ameendelea kusema kwamba waliohudhuria mkutano huu wataelezewa kuhusu maendeleo ya Rwanda.

Amesema “Inaonekana kwamba waliomwalika, ambao ni tume hiyi inajuwa vitendo alivyoweza kutekeleza, kuhusu maendeleo ya uchumi na uwekezaji, kwa hivyo walimwalika wakiamini kuwa kuna mengi atakayochangia katika mkutano huu, kwa kugusia kuhusu ustadi wake kama rais wa Rwanda na kueleza kwa upana kuhusu maendeleo ya Rwanda”

Perezida Kagame kandi azahura n’abayobozi banyuranye bo mu Bubiligi, nyuma akazahura  n’Abanyarwanda  basaga ibihumbi 4 muri icyo gihugu muri Rwanda Day. Rais wa Rwanda atawakuta pia viongozi wa ngazi mbalimbali nchini Ubelgiji, kabla ya kushiriki mkutano wa Rwanda Day ambao utawakutanisha wanyarwanda wapatao elfu nne.

Uhusiano wa Rwanda na Ubelgiji unakaa imara, ikiwa katika mwanzo wa 2015 pande mbili zimekubaliana kuanza mfumo wa Politique Dialogue Permanent’ maana majadiliano ya muda kwa muda kati ya nchi mbili kwenye ngazi la maziwa makuu na kimataifa kwa ujumla.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.